Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

Kitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo
Usidhani inatokea kwa bahati tu.Kuwa Rais Tanzania kwa Muislam ni lazima uwe Muislam poa wa kutokea Bakwata.Ukiwa siasa kali kama kina Ponda,Urais utausikia kwa wengine.Kwahiyo ondoa dhana kuwa yeyote muislam akiwa Rais atakuwa na ubinadamu tofauti na wakristo.
 
Kitu ambacho nimegundua mpaka sasa, waislamu wote wanao tawala huwa ni pole sana,wabinadamu tofauti na wakristo toka Nyerere mpaka leo
Mm ni mkristo R/C lkn nadhani ndugu zetu waislam wana mafunzo mengi sana ya kujali utu....toka wakiwa wadogo sisi kina Alexander tukiwa na vyeo tunataka kuwa kama kina Alexander the great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…