Mbona mnafurahi wakifukuzwa kwa kudhalilishwa, hizi ni roho za kimaskini tu zinawasumbua. waache watu wafurahie tatizo lako nini.Hivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Mbona mnafurahi wakifukuzwa kwa kudhalilishwa, hizi ni roho za kimaskini tu zinawasumbua. waache watu wafurahie tatizo lako nini.
Huna unalojua.ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Roho inamuumaSipati picha nanii anajisikiaje
Na wewe kama mpambe wakupe kazi ya UN so wanakujua3upambe wakoninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
Huku ndiko huitwa kumpiga chura tekeHongera sana Dr Mwele, wewe ukisema wanini? mwenzako anasema nitampata lini!
Kaputula la maxi..!ninachojuwa ni kwamba Dr Mwele lazima amepata baraka za serekali kuweza kupata hizo nafasi. Msiwachonganishe watu wakuu
alifaa kutangaxia taifa maafa kuwa kuna zika?? Vipi leo ukiamka adubui uamviwe kipindupindu kimeingia mtaani kwako wakati si kweli?Wewe umechukia? Mama kaula hapa mliona hafai dunia inamtambua
No wonder Mungu akakulaani ukawa kama yule aliyepewa mtoto chupa haiwezekani ukawa na roho mbaya kiasi hicho shetani mkubwaHivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Mshamba kama wewe wa karomije mwenye baba wa PHD fake utaelewa nini kazi kulegeza makalio tualifaa kutangaxia taifa maafa kuwa kuna zika?? Vipi leo ukiamka adubui uamviwe kipindupindu kimeingia mtaani kwako wakati si kweli?
Ni watu wenye roho mbaya tu msiofurahia mafanikio ya mtu, mnaopenda wengine waishi kama mashetani.Sina tatizo lolote ila nashindwa tu kuelewa kufurahia mtu asiyekujua na haunufaiki chochote na kupata kwake ulaji, kwangu ni ngumu kuelewa!