Kijana angalia usiwe mchawi.Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Nipe faida Tanzania inapata kwa wewe kucomment upuuzi jf.Bado unaishi kwa matukio?? Hiyo nafasi ndio itakujengea reli, itakujengea barabara, itakuletea dreamliner, itakununulia vivuko..ifike mahali mpunguze mihemko ya kisiasa..nipe mafanikio ya nchi asharose migiro alipokuwa deputy general UN..
Nahisi huyo kijana atakuwa alihusika kwenye utumbuwaji wake, maana si kwa uharo huo anaoutoa[emoji23]Nipe faida Tanzania inapata kwa wewe kucomment upuuzi jf.
Kwanini wewe unavyotetea biashara ya utumwa inayoendelea wewe inakusaidia nini?Hivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Dada naona umepata mp ghaflaHivi huwa mnafaidika nini kushangilia mtu asiyekujua wala kukufahamu akipata ulaji ambao ni kwa ajili yake na familia yake?
Binafsi sijawahi kulielewa hili!
Inakusaidia nini sasa??
Amini amini nawaambia "jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi" na yeyote aangukiaye kwenye jiwe hilo atavunjika vipande vipande.Jiwe walilolikataa waashi
Kweli mafanikio ya mwenzako yamekuumiza! Ndo shida ya kuwa na rohi ya korosho!Huyu naye ni mchochezi tu, anatumika, ni lini Zika iliingia Geita?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]yohane ataingia" period yake ya ukichaa" aisee akiona hv....
Nani, mzee jiwe kipara au?Sipati picha nanii anajisikiaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
[emoji23] [emoji23]napata ban kwa habari za kukera kama hvi arghhh poa tu...!usisikie period ya ghafla mkuu...lol