engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
- Thread starter
-
- #21
mkuu mbona mapovu yanakutoka?wapi nimeandika mwakyembe ni fisadi?soma uelewe sio kukurupuka chooni bila kutawaza..
Wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, unayakumbuka maneno haya? " Tulificha ukweli wote ili kuikoa serikali yote isianguke" by repoti ya Mwakyembe.kwani mkuu ulikuwa unataka afanyeje,maana kama ripoti ilikuwa ni lazima isomwe bungeni na kuanzia hapo ndipo maadui wakajitokeza sasa unadhani yeye angefanyaje? ameumizwa kwa kulitetea taifa letu,yatupasa tumpe nguvu na moyo
Imeandikwa, Mungu hawezi kujaribiwa na uovu. kamwe usije ukamshauri mtu kutenda dhambi kwa makusudi sababu tu atatubu. " Mungu si mwanadamu" kumbuka hilo.
Wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa, unayakumbuka maneno haya? " Tulificha ukweli wote ili kuikoa serikali yote isianguke" by repoti ya Mwakyembe.
Je walimficha nani ukweli ili kumnusuru nani? na kwa maslahi ya nani? na je unafahamu walitumia shilling ngapi za walipa kodi ili kuutafuta ukweli matokeo yake wakatuficha ukweli? this are a Traitors.
Lakini tunamshukuru Lowasa ametueleza ukweli tuliofichwa na hawa wanafki kina Mwakyembe & Company.
alipize kisasi kwani anamjua aliyesababisha aumwe?jamaa ana bonge la nyumba(ghorofa),kumbe unaweza kujiita mpambanaji wa ufisadi hata kama ni tajiri kama mwakyembe?
Mjinga sana huyu jamaa eti ana jiita mpambanaji, akiwa India alisema kija bongo atapasua jipu kumbe jipu lenyewe ni kumwachia mungu...au ameona jamaa wako vizuri zaidi yake akaona hawezi kupambana nao basi kama ndivyo afunge ndomo lake na si kuendeleza unafiki wake yeye na SittaSiwezi kueleza moja kwa moja kwamba nimelishwa sumu, ninachoweza kusema nilikuwa na hali mbaya sana wakati napelekwa India kwa matibabu na nimerudi salama nikiwa na afya njema, namwachia Mungu alipe kisasi, mimi si wa kulipa, ...
Mjinga sana huyu jamaa eti ana jiita mpambanaji, akiwa India alisema kija bongo atapasua jipu kumbe jipu lenyewe ni kumwachia mungu...au ameona jamaa wako vizuri zaidi yake akaona hawezi kupambana nao basi kama ndivyo afunge ndomo lake na si kuendeleza unafiki wake yeye na Sitta
Nashukuru Matola
akutukanae hakuchagilii tusi,sasa kama ukweli ulifichwa kile kilichotolewa na Dr kilikuwa nini haswa? maana watz wengi wanadhani ule ndio ukweli na ndio kisa cha Mh EL kujiuengua,labda wewe uwe na jipya nje na lile
na kwa upande wangu,kama kweli makyembe ameumizwa basi nadhani ni kwa ajili ya ile ripoti,labda wewe waweza nipa ukijuacho mkuu
Ni kheri vita ya Matusi kuliko vita ya Bunduki,
Nakushukuru sana mkuu
mwakyembe si msafi na anajua hilo ndio maana ameishia kuwa bwabwajo tu (vuvuzela) na hakuna message alideliverNi kweli ni vigumu kupambana na ufisadi ukiwa ndani ya CCM, lakini ni jambo zuri vilevile kwamba watusaidie kuiua CCM wakiwa ndani si unakumbuka wakina Raila Odinga Walivyoiua Kanu Wakati ule wakitokea ndani ya Kanu Yenyewe na alitoka kanu na Akina KALONZO MUSYOKA ,JOSEPH KAMOTO,SAITOTI.Mimi nafikili wanaweza kuendelea kuwa CCM,lakini watoke CCM 2015 Kwa kundi kubwa wakipinga mchakato wa uraisi kwani kama ilivyo ada mwenye fungu kubwa ndiyo atashinda.
mjinga sana huyu jamaa eti ana jiita mpambanaji, akiwa india alisema kija bongo atapasua jipu kumbe jipu lenyewe ni kumwachia mungu...au ameona jamaa wako vizuri zaidi yake akaona hawezi kupambana nao basi kama ndivyo afunge ndomo lake na si kuendeleza unafiki wake yeye na sitta
Yeye na Samwel Sitta hawa ni watu wa kuupuuzwa to the maximum na Watanzania. ile kamati yao wote wameshahongwa vyeo, kumbe shida yao ilikuwa ni vyeo tu basi kenge kabisa hawa.huyo sio mjinga... Kwani mjinga ni wa kwenda tu, huyo ni mpuuzi... Yaani wa kupuuzwa kabisa
anachefua sana jamaa na unafiki usiokwisha
Ivi mnajua ata adui zako hawatakiwi kujua kama utawalipiza kisasi
just go straight to the point, Mwakyembe is disappointing kwasbabu we expetced alot from him, and he ended up always promising something he cant even deliver... that is why we advice its better to be quiet, prepare the game and play your cards right when all is settled and well planned.... anavyohangaika na "nitasema yoe", sitalipiza kisasi" he is just wasting everyones time and trust. he is a leader so he must be straightKuna kamsemo tulifundishawagwa shule "Aisifiae Mvua Imemnyea" . Hapa kunampenda" haki na mema kwa raia wote" na mpenda ufisadi. Mmoja hata ona uzuri wa mwakyembe hata kidogo mpaka atakapogundua ubaya wa ufisadi. na Mwingine ataona yote kama hata elemewa mtizamo wake. Inakubalika hiyo lakini ukweli utabaki kuwa ukweli haijalishi wewe uko upande gani.
Sijui unahitaji nikueleze nini ili utoke kwenye usingizi wa pono? Richmond = ni mradi wa bwana mkubwa wa pale mtaa wa Luthuli magogoni.
Kamati ya Mwakyembe wanayajuwa yote hayo ndio maana hawakumuhoji Lowasa waliogopa angewaambia nendeni mkamuhoji mkuru, ndio maana wakaishia na hasira zao za kukosa uwaziri mkuu na kumwambia Lowasa apime mwenyewe tuhuma na achukuwe maamuzi, ni nini usichokielewa wewe hapa? au umesahau JK alikuwa anatudanganya kwamba hamjui mmiliki wa Dowans?
Kisasi ni haki.Imeandikwa, Mungu hawezi kujaribiwa na uovu. kamwe usije ukamshauri mtu kutenda dhambi kwa makusudi sababu tu atatubu. " Mungu si mwanadamu" kumbuka hilo.