inasikitisha watu hapa have balls kusema amewaondoa wasomi kaleta mburula.... hao wasomi na usomi wao uchwara wamesaidia nini nchi hii na hiyo port.. kama usomi ni kupewa tu madaraka hata kama unafanya upuuz kabisa nadhan shbaha ya mwalimu nyerere kuhusu elimu haijaeleweka kwa wengi.... elimu si tu kupata heshima na kazi nzuri na kusaidia familia yako elimu ni kulea ukombozi ktk jamii unayoitumikia mwakyembe ameonyesha aina ya ukombozi ambao wasomi wetu uchwara wanatakiwa waulete wanapopewa madaraka!!! fukuza wote tu
Mwakyembe HAJUI maana ya bodi au hana malengo mazuri na TPA.
Bodi inatakiwa kuwa na watu wenye utashi wa kutoa maoni ya kitaalamu bila uwoga. Mkuu wa Mkoa HAFAI kuwa member wa bodi kwa sababu kwa vyovyote vile atatetea kile kinachomfurahisha Rais kisiasa hata kama hakina maslahi ya kibiashara/kiuchumi kwa TPA.
Kuwafukuza wanabodi kwa kigezo cha kutaka TPA isiwe na malumbano ni ufupi wa akili. Bodi kuwa na malumbanon ni ishara ya ukomavu. Ukiwa na bodi ambayo kila kitu wajumbe wanaunga mkono basi matokeo ni KIFO cha kampuni/shirika.
Siasa isipewe kipaumbele katika masuala ya kitaalam...
Hivi kwanini hizi nafasi hazitangazwi????Tutachaguana mpaka lini??? Mtu anaweka tu watu wake kama anavyojiskia???? Huyo aliyemtoa reli kafanya nini?? c ndo reli imekufa???nilidhani anamfukuza kazi kabsa kumbe ndo anamuongezea wigo wa mapato???? Kweli Tanzania Tunahitaji mabadiliko ya kweli, hatuwezi tena kuvumilia mambo ya namna hii!!!
Bahati mbaya sana nashawishika kusema, unamzungumzia mtu ambaye humfahamu. Ungemjua Kanali Simbakalia,usingethubutu sio tu kuandika, lakini hata kufikiria.
Tupe uthibitisho siyo umbea mkuu.Mbona hao walioondolewa ndio walikuwa wanatetea maslahi ya nchi?
Mkuu nafasi za wajumbe wa bodi ni kuteuliwa haziombwi labda yubadilishe sheria ndiyo twende unakotaka wewe.Hivi kwanini hizi nafasi hazitangazwi????Tutachaguana mpaka lini??? Mtu anaweka tu watu wake kama anavyojiskia???? Huyo aliyemtoa reli kafanya nini?? c ndo reli imekufa???nilidhani anamfukuza kazi kabsa kumbe ndo anamuongezea wigo wa mapato???? Kweli Tanzania Tunahitaji mabadiliko ya kweli, hatuwezi tena kuvumilia mambo ya namna hii!!!
Upo? sijakuona siku nyingi hapa JFKimenuka huko
Bahati mbaya sana nashawishika kusema, unamzungumzia mtu ambaye humfahamu. Ungemjua Kanali Simbakalia,usingethubutu sio tu kuandika, lakini hata kufikiria.
Juzi, Mwakyembe alitoa mpaka leo Jumatatu saa sita mchana kamili, majina ya wezi/walinzi wa TPA walioimba lita 20000, yawe yamefika mezani kwa katibu mkuu.
Naomba kujua ka ni kweli agizo limetekelezwa, au ilikua ni mkwara kwa ajili ya tv.
...twende mwakyembe twende...