Dr. Magufuli usitutoe vibanzi wakati una boriti jichoni kwako

Hapa kazi tu...nyie endeleeni na hadithi. Awamu ya nne na deal zake zimezikwa
 
Mtoa mada bila shaka ni muhanga wa makontena, sidhana kama kuna binadamu atafikia utakatifu anaoutaka. lakini wengi tunaamini katika utekelezaji wa mambo ya msingi. Hata hao anao wa envy akina Mandela na Mwalimu wako na mapungufu yao pia........
 
Mmi nadhani logic IPO na kama ni muungwana he will respond the positively. Nadhani hata katika harakati za kubana matumizi pia anaweza kupunguza kiasi chake cha mshahara anaolipwa ili impe legitimacy ya kupunguza mishahara ya mawazir na wakurugenzi na marupurupu kwa wabunge kwa mustakabali wa taifa
 
Mtoa mada bila shaka ni muhanga wa makontena, sidhana kama kuna binadamu atafikia utakatifu anaoutaka. lakini wengi tunaamini katika utekelezaji wa mambo ya msingi. Hata hao anao wa envy akina Mandela na Mwalimu wako na mapungufu yao pia........
Ila wale wa majipu hawakutakiwa kuwa na mapungufu kwa kuwa wao ni Miungu?! Mbona unacontradict?!
Ukweli ni kwamba team zinapangwa upya that sounds much. Hayo mengine ni by the eay tu, kwa sababu majipu makubwa ni wanasiasa kuliko hao watendaji, na hakuna mwanasiasa aliyeguswa hadi sasa. Hivyo tuache team mpya za kiutendaji ziundwe, ila kuhusu real majipu naamini bado sana, ingawa ni good move!
 
uhanga wangu wa kontena uko wapi?? muulize sefue sasa nini kimempata
 
Ila wale wa majipu hawakutakiwa kuwa na mapungufu kwa kuwa wao ni Miungu?! Mbona unacontradict?!
Ukweli ni kwamba team zinapangwa upya that sounds much. Hayo mengine ni by the eay tu, kwa sababu majipu makubwa ni wanasiasa kuliko hao watendaji, na hakuna mwanasiasa aliyeguswa hadi sasa. Hivyo tuache team mpya za kiutendaji ziundwe, ila kuhusu real majipu naamini bado sana, ingawa ni good move!
Nakubariana kuhusu REAL MAJIPU. wanasiasa kwa kuwa wanajua wapo katika nafasi zile katika limited time. Hivyo wanafanya yao ili wakitoka wabaki katika utajiri
 
Za sikukuu wakuu, naona na mtandao umekuwa mupyaa

Yesu, huyu tuliyeazimisha birthday yake aliwahi kusema "kabla hujamsema mwenzio ana kibanzi jichoni kwake, jitoe kwanza boliti kwako"

Mh Rais ameapa kututoa vibanzi vyote na ameanza kwa kasi kuubwa hata kudiriki kuondoa kibanzi cha TRL na RAHCO (naunga mkono) . Lakini asidhani tumesahau kuwa ana miboliti machoni pake anayopaswa kuyatoa kabla ya kuendelea na vibanzi vyetu, tena asipoyatoa yatamsababishia ule ugonjwa unaoitwa double standard.

boliti yenyewe ni ile unaccounted for, 200+ billion zilizosemwa bungeni na hata katika report ya CAG,

Kuna boliti ya Ferry ya kutoka dar kwenda Bagamoyo (sakata la aibu hili)

Boliti la meli ya Samaki za magufuri

Boliti la kuuza nyumba za serikali (hapa ndo hatari)

Boliti la tender ya Daraja la Kigamboni

NDUGU Rais , Haya maboliti unajitoa lini, ili upate uhalali wa kututoa vibanzi machoni kwetu

Update:

kumbe hili boliti lenye red, ombeni alihusika, hongera kwa kumtumbua, je hayo mengine unajitumbua lini
mbona hiyo mifano ni viboriti isitoshe jpm sio muhusika. ukiwa nyumbu ni shiiiida.
 
TAKUKURU wapo kazini, huko bungeni mapigo ya moyo ya baadhi ya wabunge kwa sasa yanapanda kwa kasi kubwa. Mwenye hekima huheshimu maana ya muda, mwenye pupa huishia kupata matokeo yasiyo na ubora alioutegemea. JPM wanamdharau kwa sababu ya accent yake anapoongea, lakini kichwani yupo vizuri sana.

Kahakikisha mahakama inabadilika kiutendaji, kahakikisha mahakama ya mafisadi inaundwa haraka, kahakikisha ofisi ya DPP inaundwa kiufanisi zaidi ili atakapoanza shughuli nzito mambo yaweze kwenda kwa ufanisi.
 
Songoka naomba nimuulize,hivi leo ni Kipanya alichoongea kuhusu Taulo la guest au furaha ya Pasaka??Sijakuelewa...
 
TAKUKURU wapo kazini, huko bungeni mapigo ya moyo ya baadhi ya wabunge kwa sasa yanapanda kwa kasi kubwa. Mwenye hekima huheshimu maana ya muda, mwenye pupa huishia kupata matokeo yasiyo na ubora alioutegemea. JPM wanamdharau kwa sababu ya accent yake anapoongea, lakini kichwani yupo vizuri sana.

Kahakikisha mahakama inabadilika kiutendaji, kahakikisha mahakama ya mafisadi inaundwa haraka, kahakikisha ofisi ya DPP inaundwa kiufanisi zaidi ili atakapoanza shughuli nzito mambo yaweze kwenda kwa ufanisi.

Tumeangalizwa na Kipanya ati Taulo la guest halikaushi maji mwilini
 
Mlitumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa lile fisadi papa a.k.a mamvi ndiyo alifaa kuwa rais huku mkijuwa ni MTU mchafu ambaye hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi!!! Hapa kazi tu.

Wanasema nenda lumumba kachukue buku saba
 
Back
Top Bottom