Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,349
- 1,224
Kwa kuwa ni wabunge wa vijiweni, hawajui kuwa swala la kuuza nyumba za serikali lipewa baraka na baraza la mawaziri, ambalo Mkapa ndio alikuwa mwenyekiti.
Ndio shida ya kuchagua wabunge wa vijiweni, wenye upeo mdogo na wasio jua hata serikali inafanyaje kazi.
Poleni sana.