Dr. Magufuli tunahitaji ATCL yetu irudi kwenye mstari, tunahitaji ndege ya Taifa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Wakati muafakaa tunapomaliza swala la Elimu tusaidiane kuona vile vitambulisho vyataifa letu vikiendelea kujulikana na kutambulika na wananchi wa ndani na nje.

Nayo heshima kubwa Hon President kusema tumedanganywa mengi na serikali iliopita nakama kunadhambi wameondoka nayo nikuhutubia taifa tunairudisha AirTanzania upya ikiwa na mkia wake.

Sitaki kuhukumu niseme yaliopita sindwele tugange yajayo mh Rais hakuna starehe kubwa kama unaenda nje na ndege ya nchiyako kwanza rangingi zinatangaza Taifa lako na yule twiga anajitangaza mbuga zetu.

Wale wanaofwatilia michezo wameona Raisi wa Gabon alivyotuma ndege kumchukua mchezaji bora wa Africa toka Gabon ile ni ishara tosha kuijulisha jamii tunamjalia na tunamkubali.

Mh raising kwaheshima nataadhima tunaomba mfwatilie matatizo yote yanayoikabili ATCL ili muweze kuongeza idadi ya ndege za kila siku inashangaza leo hii kuona baadhi ya ndege zikijitambulisha kama utambulisho wa taifa hii ni hatari sana.
 
Rais ana wajibu mkubwa sana kwa nchi hii lakini ili aweze kufanikiwa inabidi aache vyote ashughulikie suala la Katiba Mpya na Uchaguzi wa Zanzibar. Kama hatayapa vipau mbele haya majipu mawili kwanza basi hata angangane vipi mabadiliko tunayotegemea hayatapatikana!
 
Zote point... Nadhani tujijengee matumaini zaidi na kuwa na masubira. Aliyokwishayafanya yanaashiria mwelekeo mzuri. Tuzidi kumuomba Mola Muumba amzidishie umri, afya na busara zadi
 
Back
Top Bottom