Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
Tujengee umoja ndani ya chama chetu,
Avoid kuzunguka na mjumbe yeyote ambaye aidha alikuwa timu Membe ama timu Lowassa, I prefer Mh. Kinana, Kwa kufanya hili japo ni dogo sana lkn lina nguvu kali sana, Dont be biased!!
Kiamini kile akili yako inachokutuma!!
Maneno ya chuki zinazoweza kupandikizwa hasa kipindi hiki ni hatari na anguko kuu,
Thanks!!