Heshima kwenu wanajamvi.
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umemalizika Rais wa Tanganyika ni Dr Magufuli,Rais wa Zanzabar bado kitendawili matokeo yamefutwa hakuna mbunge,hakuna wawakilishi,hakuna Rais wa Zanzibar wala Rais wa JMT.
Kwakuwa matokeo ya Zanzibar yamefutwa kabisa ni dhahiri kura alizopata Magufuli kwa upande wa Zanzibar ni batili hazikupaswa kuhesabiwa na NEC kama sehemu ya kura zilizompatia ushindi.
Ikiwa Dr Magufuli ataapishwa ni dhahiri atakuwa ni Rais wa Tanganyika pekee yake.
Kama huna mchango bora ungekaa kimya.
Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba.
(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwaamechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidikuliko mgombea mwingine yeyote.
(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzikwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basihakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka yakuchunguza kuchaguliwa kwake.
Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.
Kifungu cha saba kinasema wazi "Iwapo mgombea ametangazwa na tume ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa raisi kwa mujibu wa ibara hii (ya 41)". Vipi kama kilichotangazwa hakiko kwa mujibu wa ibara hii? Bado tangazo hilo ni legal binding?
Swali lingine, ni chombo gani kinatakiwa kuhakiki compliace ya tume ( iliyopewa nguvu hiyo kwenye) ili kujiridhisha kwamba inachokitangaza kimefanyika inline with stipulations za ibara hii ya 41?
Vipi ikitokea msemaji wa tume, on insanity, corruption, Rebellion, conspiracy, au threat grounds akamtangaza mtu kuwa raisi bila taratibu na mahitaji ya ibara hii ya 41 kufuatwa, bado itakuwa ni lawful, binding and enforceable announcement?
NAOMBA TUJADILIANE NA KUELEIMISHANA KWA HOJA. Na ni vizuri tukiwa tunarejea mfano wa kifungu cha sita hapo juu
Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.
Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?
Nasikitika kwamba nchi yangu ina kifungu kinachosema kuwa 'hakuna mahakama yoyote'! Wakati nchi bado iko chini ya watangulizi hasa Mwalimu hiki kifungu madhara yake hayakuwa makubwa sana maana zaidi ya 98% ya wasimamizi wa sheria walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi na walitawaliwa na nia njema. Leo hii ni wanafanya kwa ajili ya maslahi binafsi!
Hata ISIS nao wana mfumo wao wa sheria katika maeneo wanayotawala ikiwa ni pamoja na beheading na hakuna anayetakiwa kuhoji maana ni 'sheria halali'. Tafakarini zaidi mustakabali wa Tanzania!
Heshima kwenu wanajamvi.
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 umemalizika Rais wa Tanganyika ni Dr Magufuli,Rais wa Zanzabar bado kitendawili matokeo yamefutwa hakuna mbunge,hakuna wawakilishi,hakuna Rais wa Zanzibar wala Rais wa JMT.
Kwakuwa matokeo ya Zanzibar yamefutwa kabisa ni dhahiri kura alizopata Magufuli kwa upande wa Zanzibar ni batili hazikupaswa kuhesabiwa na NEC kama sehemu ya kura zilizompatia ushindi.
Ikiwa Dr Magufuli ataapishwa ni dhahiri atakuwa ni Rais wa Tanganyika pekee yake.
By Tabby
Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba.
(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwaamechaguliwa kuwa Rais iwapo tu amepata kura nyingi zaidikuliko mgombea mwingine yeyote.
(7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzikwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basihakuna Mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka yakuchunguza kuchaguliwa kwake.
Ufafanuzi ninaoumba ni kama tangazo la tume juu ya raisi litakuwa na kinga ya kutokuchunguzwa na mahakama yoyote hata pale ambapo maamuzi ya tangazo hilo hayajazingatia matakwa ya Ibara hii ya 41 mfano kama kifungu cha 6 ama chochote kikiwa kimekiukwa.
Kifungu cha saba kinasema wazi "Iwapo mgombea ametangazwa na tume ya uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa raisi kwa mujibu wa ibara hii (ya 41)". Vipi kama kilichotangazwa hakiko kwa mujibu wa ibara hii? Bado tangazo hilo ni legal binding?
Swali lingine, ni chombo gani kinatakiwa kuhakiki compliace ya tume ( iliyopewa nguvu hiyo kwenye) ili kujiridhisha kwamba inachokitangaza kimefanyika inline with stipulations za ibara hii ya 41?
Vipi ikitokea msemaji wa tume, on insanity, corruption, Rebellion, conspiracy, au threat grounds akamtangaza mtu kuwa raisi bila taratibu na mahitaji ya ibara hii ya 41 kufuatwa, bado itakuwa ni lawful, binding and enforceable announcement?
NAOMBA TUJADILIANE NA KUELEIMISHANA KWA HOJA. Na ni vizuri tukiwa tunarejea mfano wa kifungu cha sita hapo juu
Pole sana mara zote mtaka nyingi kwa pupa hukosa zote
Kwa sasa uchaguzi umebaki MONDULI TU pengine watu wamefunika vitabu vyao....hilo ndilo tatizo la kununuliwa ulizokula zinatosha ridhika na hilo
By the way case yetu huko ICC inaendeleaje??, Bensouda ameshaanza kazi??? Mlichimba mashimbo tena kwa vitiiishooo!! Mmejifukia wenyewe..poleni sana
Nimemsikia Seif akilalamikia hatua ya Kikwete kutuma majeshi, vifaru na magari ya maji washawasha Zanzibar. Je hiyo ni ishara ya kutoa uhuru?Hongera sana Zanzibar kwa kupata uhuru wenu.
Pole sana mara zote mtaka nyingi kwa pupa hukosa zote
Kwa sasa uchaguzi umebaki MONDULI TU pengine watu wamefunika vitabu vyao....hilo ndilo tatizo la kununuliwa ulizokula zinatosha ridhika na hilo
By the way case yetu huko ICC inaendeleaje??, Bensouda ameshaanza kazi??? Mlichimba mashimbo tena kwa vitiiishooo!! Mmejifukia wenyewe..poleni sana
Unamaanisha kama ilivyo kwa Sugu na urais wa Mbeya!?
Nasikitika kwamba nchi yangu ina kifungu kinachosema kuwa 'hakuna mahakama yoyote'! Wakati nchi bado iko chini ya watangulizi hasa Mwalimu hiki kifungu madhara yake hayakuwa makubwa sana maana zaidi ya 98% ya wasimamizi wa sheria walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi mapana ya nchi na walitawaliwa na nia njema. Leo hii ni wanafanya kwa ajili ya maslahi binafsi!
Hata ISIS nao wana mfumo wao wa sheria katika maeneo wanayotawala ikiwa ni pamoja na beheading na hakuna anayetakiwa kuhoji maana ni 'sheria halali'. Tafakarini zaidi mustakabali wa Tanzania!
Sijaona watu wajinga ambao wanashindwa kuhoji demokrasia ndani ya Chadema ya kumchagua Jambazi Sugu kuwa mgombea. Unapotaka kuwa mkweli hoji hiyo ndani ya nyumba yako kwanza kabla ya kunyoosha mikono kwa wengine. Absolutely stupid. Then kuna watu wanadiriki ati kusema rais wa Tanganyika, huo ndio ufinyu wa akili na mawazo yao.