Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,401
- 8,113
kama tunavyotalajia mh John Magufuli atakuwa mwenyekiti wa ccm cheo cha juu zaidi katika chama hicho, ikumbukwe Dr magufuli hajawahi kuwa na wadhifa wowote chamani humo ila atapewa uenyekiti wa ccm eti kisa tu ni rais wa nchi, yaani ni kama mwananchi wa kawaida hajawahi kuwa na wadhifa wowote katika serikali ya tanzania mara anakuwa rais yaani mtu anaanzia kwenye urais ambacho ni cheo cha juu zaidi nchini. hii imekaaje Great Thinkers?