Ametoa mifano ya kukubalika kwa CHADEMA, mfano Igunga. Hapo nyuma CHADEMA haikuwa na mgombea IGUNGA Lakini juzi hapa hali imebadilika kabisa.
Pia anasema kwa mujibu wa gazeti moja ni kwamba Dr Slaa alishinda. Na hilo halijakanushwa na vyombo husika tangu gazeti hilo liripoti