Eti nini? Dr. Slaa amkimbie Neppi? Acha maskhara!
Nape si saizi ya Dr. Slaa na hata anayewalinganisha lazima atakuwa na kasoro kichwani!
Nape ni zumbukuku ambaye hana ubavu wa kupambana kwa mdahalo hata na Mnyika; sembuse Dr. Slaa? Nape hana sifa hata za kugombea udiwani zaidi ya kujipendekeza ili aambulie vyeo vya kuhongwa kama anavyopavipata huko CCM.
Huku ni pia kumdhalilisha Mwenyekiti wetu, Nape aweze Kikwete alikoingia mitini?