Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,435
- 133,878
Wanabody,
Mbunge wa Nzega, Dr. Hamisi Andrea Kigwangala, ambaye jana alitiwa nguvuni na polisi wa Nzega, kwa kuendesha maandamano bila kibali, aliachiwa jana usiku wa manane, na saa hizi, ametinga bungeni Dodoma na yuko live on Clouds Radio,
Listen Live!.
Pasco
Aonewe hurumakwa hiyo
mkuu usiibiwe kirahisi na haya maigizo,wanatafuta justification ya kuendelea kuwakamata wapinzani...polisi na ccm lao moja.Mhe. Kingwangala Pole!
Lakini nyie wabunge wa ccm si tuliwaambie acheni kuendekeza polisi mkawa mnachekelea wanavyoua na kutesa wapinzani sasa umeona joto ya jiwe? Na pia Mhe. Masele aiipata hivi karibuni huko jimboni kwake shinyanga. Hata hivyo naona kama kamchezo ka kuigiza ili polisi wapate nafuu ya kuwashughulikia wapinzani vile, kwa maana ndoa ya ccm na polisi ni ya muda mrefu sana.
Huyu Kigwangala kuanzia jana nimemtoa maanani kabisa, Nilidhani ana akili kwa ajili ameenda shule, Kumbe naye anaiga ule ujinga wa LEMA wa kuvunja amani ya nchi.
CCM ni Chama changu lakini nicha hovyo sana
Usifanye urafiki na...