kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Nisaidieni namba ya Dr.Kapona ndugu zangu au maelekezo ya clinic yake iko wapi??
Natanguliza shukrani
Nenda muhimbili mkuu
0754 286 125 Dr. Kapona.
kwani anatibu nini cha ajabu mpaka kuacha wooote mjini huku
Siku hizi amefungua clinic yake kama sikosei maeneo ya Chanika, unashuka kituo cha mbuyuni kuna bodaboda hapo ukiwauliza watakupeleka. Ntakutumia namba yake punde.
0754 286 125 Dr. Kapona.
hivi wewe ndiye dr Thomasa koligi wa Dr Kapona au?mbona unatupia namba ya mtu kwenye public namna hii ?ungempm
Mimi pia nilikuwa naitafutaJack hii itasaidia pia na wengine wenye kumhitaji.
Asante kwa ushauri mkuu
Mimi pia nilikuwa naitafuta
Asante sana samaritani