Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

No,probably not.Kwa sasa kwa kuwa serikali ya CCM haikutaka kuwapeleka mahakamani (labda kwa sababu 'wote' ni wahusika au kwa aliyosema lowassa kwamba muhusika mkuu alikuwa JK sasaaa majibu mengine waweza kuyapata hapo)
Kwanini nisimuamini kwa mfano huyu lowassa kwa aliyosema na ndio maana serikali/CCM haikuwa tayari kufanya uchunguzi huru kwa ufisadi mwiingi unayoindama na kuwapeleka watuhumiwa mahakamani ili tujue mbivu na mbichi maana serikali/CCM ingekuwa imeshaanguka siku nyiiingi.
So for the time being,yes we will listen to them and listen to them carefully and judge according to tunavyoweza sisi bcoz sisi sio mahakama......

Kwahiyo ukawa wakifanikiwa kushika dola watampeleka nani mahakamani kwa kosa la ufisadi au ndio hadi wasubiri watakachoambiwa na lowassa?
 
Kwahiyo ukawa wakifanikiwa kushika dola watampeleka nani mahakamani kwa kosa la ufisadi au ndio hadi wasubiri watakachoambiwa na lowassa?
I don't think that should be their priority.....we need to move forward....kwanza turejeshe katiba ya wananchi(rasimu ya warioba) inayoweka misingi ya maadili na rule of law.........in line with that ziundwe taasisi huru za kupambana na rushwa na ufisadi (of course this should go hand in hand with elimu kwa umma na ili ku-change mindset ya jamii kuhusu rushwa na ufisadi....watu wachukie rushwa na wajue haki zao za kupata huduma mbalimbali nk)
Hizi taasisi ziwe huru na ziwe zinawajibika kwa Bunge na sio kwa Rais....Ni ujinga kwa taasisi hizi kusubiri kupewa orders na rais au waziri alafu utegemee haki kutendeka.
Thats what we want.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu, kama wanasiasa wangekuwa wanatenda wanayoyasema leo hii tungekuwa mbali.

Kwa mfano ccm walichakachua rasimu ya katiba kwa kuwa waliona haikidhi matakwa yao na kama wangeipitisha kuwa katiba ingeweza kuwafanya washindwe kwenye chaguzi mbalimbali, kama hivyo ndivyo unadhani hao cdm/ukawa hawataweza kuichakachua ili iendane na matakwa ya chama chao kama ccm walivyofanya?
 
Twiti ya 20/8/2013 kipindi Lowasa hajatwambia Richmond ni nani na alikuwa hajamrudia Bwana Mungu.

Sasa Lowasa ni mtakatifu, ametakaswa kama mwezi na kama nyota!

Ndio maana nikasema, you're totally ignorant but you are not aware! "Lowassa ni mtakatifu", unapoandika jaribu kuwa reasonable, nyie watu mnaojiandikia makala bila kuzihariri ndio mnaonyesha ujinga wenu hivi..
 
Huyu Magufuli inabidi ashitakiwe kwa yale madaraja yalioanguka sababu ya kujengwa vibaya, barabara zinajengwa vibaya kusababisha mauwaji ya maelfu ya watu kila mwaka.
 
kwanza barabara nyingi zimejengwa kwa misaada huku serikali ikitoa asilimia ndogo.Na cha kusikitisha huyu mgombea urais upande wa ccm akisema kuwa wanaosema rais kikwete ana safiri sana,mimi nasema safiri mkuu[ana maana aendelee kwenda kuomba omba]huku nchi ina kila kitu.Sasa kweli mnafikiri huyu ndugu Magufuli aliyemwambia mheshimiwa rais wewe endelea kusafiri ili ukaombe tujenge barabara ,unategemea yeye atakuaje??????
 
Juhudi zipi katika kazi

1) Miaka hamsini Taifa letu halina ndege hata moja??
2)Ufisadi umeshamiri kila kona
3)Madawa ya kulevya na vijana wanazidi kupotelea humo kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
4)Barabara zilizojengwa hazina viwango hazina alama za barabarani, haziana waenda kwa miguu ( Hopeless kabisa)
5)Matumizi mabaya ya madaraka na kuishi kwa mazoea
6)Shilingi inaporomoka siku baada ya siku kila kona kuna soko la giza (black market)
7)Ujinga na ushabiki wa siasa yaani kila kitu upuuzi upuuzi mtupu
8)Hospitali hazina huduma bora , elimu iko chini sana

yote haya yanasababishwa na kukosa viongozi walioshindwa kusimamia matumizi ya railimzali tulizonazo

Dont waste your time on explanation about your party people want to hear what they want to hear and its only the word changes

Sasa komesha yake ni Magufuli wala hakuna mwingine. Huyo ndiye mchapakazi ambaye atatutoa hapa tulipo mpaka kule tunapotarajia kufika.
 
Hoja zako ni too general. Ndo maana Dr Slaa akakuambia Shut Up Yeriko. Mpaka ukapigwa ban ya wiki. Sasa umeanza kuandika mambo ambayo hayana uhalisia
Yaani leo ndio nimeamini kwamba Yericko Nyerere ni muongo wa kutupwa!! Hoja zake zimekaa ki Ijumaa Ijumaa! Mimi huwa nina kumbukumbu kidogo, naomba aniambie ni lini Dr. John Pombe Magufuli alisimamia viwanja vya ndege na Bandari. Akijibu hilo nitaendelea na mengine kuonyesha jinsi alivyo muongo wa kutupwa.
 
Last edited by a moderator:
Kinachonishangaza is that wote wanaoponda alichoandika huyu jamaa hawaoneshi uongo aliousema au kuandika!......tunajua huyu yupo upande wa pili ila nyinyi wa Magufuli tuelezeni mambo haya sawasawa sio kuanza kumjadili mleta mada....kanusha kilichoandikwa.
Amesema Dr. John Pombe Magufuli amewahi kuongoza wizara inayoshughulikia ATC, Viwanja vya Ndege na Bandari. Kama si uongo aseme ni lini Dr. Magufuli aliongoza wizara hiyo. Huyu jamaa ni muongo tena mnafiki wa kutupwa. Leo anazikana tweets zake mwenyewe.

Naona hata Dr. Slaa anamfahamu jinsi alivyo muongo ndio maana kuna siku alimwambia akome kutunga mambo ya uongo kwenye mitandao.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu, kama wanasiasa wangekuwa wanatenda wanayoyasema leo hii tungekuwa mbali.

Kwa mfano ccm walichakachua rasimu ya katiba kwa kuwa waliona haikidhi matakwa yao na kama wangeipitisha kuwa katiba ingeweza kuwafanya washindwe kwenye chaguzi mbalimbali, kama hivyo ndivyo unadhani hao cdm/ukawa hawataweza kuichakachua ili iendane na matakwa ya chama chao kama ccm walivyofanya?
Hatuhitaji kuvuka daraja ambalo hatujalifikia.
I have no reason to think that way,I am optimistic.... kwa maana UKAWA misingi ya uanzishwaji wake ni katiba ya wanachi....na hayo mengine nilosema ndiyo yanapigiwa kelele na opposition miaka yote.
Kama wakiingia madarakani nao wakakengeuka tutawang'oa 2020 na atakayekuja mwaka huo atakuwa serious because atajua wanachotaka wananchi ni nini na akileta ujinga anapigwa chini!...hichi ni kitu cha muhimu saana ambacho tunakikosa Tanzania na ambacho kilikuwa kinawapa CCM kiburi cha kufanya mambo wanavyotaka...Sisi kama wanachi tukishaondoa hiyo feeling ya CCM kuwa na hati miliki ya kushika dola katika hii nchi tutaheshimiana ....tena saaana.
 
ha ha ha kuna wengi hapoo juu wanaisomaa namba hawamtamani jiwe kabisaa na walikuwa wanamtetea mpaka mishipa inawatoka.
 
Hahahaaaa we jamaa Yericko Nyerere uliona mbali sana, sasa hivi tukianza kuwauliza walokuwa wanakupinga kwenye huu uzi mmoja baada ya mwingine hakika kuna watu wanaweza kuwa wanalaani kabisa comments zao.
 
Back
Top Bottom