Le Grand Alexei
Senior Member
- Nov 9, 2011
- 116
- 83
Huwezi kumlinganisha January na Kigwangalla. January zaizi ya ni Zitto Kabwe!Ah wapi, huwezi kumlinganisha Kigwangalla na huyo Marope Jr asiye na msimamo! HK amekuwa mstari wa mbele kabisa kutetea kwa dhati kabisa raslimali za nchi kwa nguvu zake zote. Amefanikiwa kuwatetea wachimbaji wadogo wadogo na mwezi uliopita Waziri Ngeleja kawarudishia leseni ya umiliki wananchi hao na mpaka leo nadhani Kigwangallah bado ana kesi mahakamani na alilala jela kwa ajili hii. Kigwangalla siyo fisadi na anafaa kupewa nafasi yoyote ile ya uongozi siyo huyo Jr Makamba. Makamba ana nini huyo zaidi ya kuchangiwa pesa kupitia 'uhamasiahaji' wa dada yake Mwawar kwa wazungu, achilia mbali ukaribu wake na ENL na zile stori zake za kupewa dola 2ml na Barrick kutoka Canada
Nakubali kwamba Kigwangalla ( mwenye jina halisi ambaye yupo kijijini akisukuma toroli) si fisadi. Ila huyu Andrew aliyeko bungeni ni mtafuta umaarufu tuAh wapi, huwezi kumlinganisha Kigwangalla na huyo Marope Jr asiye na msimamo! HK amekuwa mstari wa mbele kabisa kutetea kwa dhati kabisa raslimali za nchi kwa nguvu zake zote. Amefanikiwa kuwatetea wachimbaji wadogo wadogo na mwezi uliopita Waziri Ngeleja kawarudishia leseni ya umiliki wananchi hao na mpaka leo nadhani Kigwangallah bado ana kesi mahakamani na alilala jela kwa ajili hii. Kigwangalla siyo fisadi na anafaa kupewa nafasi yoyote ile ya uongozi siyo huyo Jr Makamba. Makamba ana nini huyo zaidi ya kuchangiwa pesa kupitia 'uhamasiahaji' wa dada yake Mwawar kwa wazungu, achilia mbali ukaribu wake na ENL na zile stori zake za kupewa dola 2ml na Barrick kutoka Canada
Huwezi kumlinganisha January na Kigwangalla. January zaizi ya ni Zitto Kabwe!
wote wawili ni wanafiki tu, hakuna wa maana
Makamba anaongelea kodi za nyumba, huyu kigwa yeye anapuyanga tu kukanusha kuwa Said Bagaile sio jina lake.Mbona sijaona cha maana wanachozungumzia?
Makamba Jr anahaha sana kutafuta attention ya watu na kujipambanua kwamba naye ni mtu tofauti sana kwa kuwa eti alisoma USA. Hana msimamo wowote ule
Makamba Jr anahaha sana kutafuta attention ya watu na kujipambanua kwamba naye ni mtu tofauti sana kwa kuwa eti alisoma USA. Hana msimamo wowote ule
Makamba Jr anahaha sana kutafuta attention ya watu na kujipambanua kwamba naye ni mtu tofauti sana kwa kuwa eti alisoma USA. Hana msimamo wowote ule