nilikuwa na-browse through local (TZ) media kwenye internet nikakutana na habari mbili tofauti. moja inatoa medical progress ya JK huko US na nyingine ilikuwa inaongelea kuhusu changamoto zilizomfika Guy Scott kwenye chama chake huko Zambia.
habari ya kumhusu JK wamemu-address kama "Dr" huku mwenziwe wa Zambia akiitwa plainly Guy Scott. nikasema mwe!!
He completed a PhD in Artificial Intelligence at the University of Sussex and was awarded the doctorate degree in 1986. Scott's research title was "Local and global interpretation of moving images".[5]
Guy Scott ni Dr. tangu 1986