RIP Dr. D. D. Haule!! We all follow the same road, the difference is the time to departure.Hi wadau wa JamiiForum,Wengi wetu tuliopita UDSM faculty of Engineering then pCET then COET now CoICT mtakuwa mnamfahama huyu mheshimiwa sana Dr. Haule, he was a Telecommunications/Electronics Guru. Kwa habari nilizozipata na kuziconfirm hatunaye tena mtaalamu wetu huyu, ametutoka jana.RIP Dr. Haule, surely you contributed a lot to us calling ourselves Engineers nowadays. Utakumbukwa daima
na mwanga wa milele umwangazie!Raha ya milele umpe ee Bwana
Raha ya milele umpe ee Bwana
Una maana gani broda?Faraja kwa familia yake - Mungu awape wakati huu mgumu.
Wajivuni watamiss sana Mboga mboga zake