Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,859
- 49,293
Basi kama hawana ni vigumu kuondoa 'target' ngumu kama hiyo, huenda ni muendelezo wa Uzushi.Kuhusu drone ondoa hiyo option. Hawana
Basi kama hawana ni vigumu kuondoa 'target' ngumu kama hiyo, huenda ni muendelezo wa Uzushi.Kuhusu drone ondoa hiyo option. Hawana
What if waliomtumia wameamua apumzike. What if kuna assassin alitumwa. What if mawasiliano yake yalinaswa na movements zake zinajulikana akawa targeted. What if.... nyingBasi kama hawana ni vigumu kuondoa 'target' ngumu kama hiyo, huenda ni muendelezo wa Uzushi.
Ni kweli mapandikizi ni wengi ,wapo FARDC,wapo ANRRwanda imefaulu Sana kuichezea Drc, nadhani wanafahamu mno udhaifu wao ulipo na inaonyesha ina mashushushu wengi huko Drc.
mtu chake T14 Armata
Ni kweli yote yanawezekana.....labda wamepata ingizo jipya wakaamua kumpoteza (Kama ni kweli kauawa).What if waliomtumia wameamua apumzike. What if kuna assassin alitumwa. What if mawasiliano yake yalinaswa na movements zake zinajulikana akawa targeted. What if.... nying
Au sio mwenyewe labda
[emoji1][emoji1] endelea na utabiri mkuu.hio ilikua [emoji116][emoji116]Ni 2013 Na miezi 2 iliyopita alikufa akafufuka tena [emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea😁[emoji1][emoji1] endelea na utabiri mkuu.hio ilikua [emoji116][emoji116]Ni 2013 Na miezi 2 iliyopita alikufa akafufuka tena [emoji1488][emoji1488][emoji1488]View attachment 2288411
Safari hii inawezakuwa ni kweli maana huko kuna mgomo wa wafanyabiashara kuingia kivu sasa yawezekana kabisa watu walishachoka na hali ya usalama kuyumba na ikiwa watu wanajua msababishi ni nani, na ukisikiliza kauli ya juzi baada ya mazungumzo kati ya PK na Chisekedi utaunganisha dots M23 walitoa neno lao na hili lililotokea basi huenda kuna ukweli kwa %kubwa.Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea😁
Labda kweli ni uzushi taarifa hizi hazipo KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIKUU TULIVYONAVYO KWA SASA
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ufufuo wa kipindi hiki tunaungojea[emoji16]
Labda kweli ni uzushi taarifa hizi hazipo KWENYE VYOMBO VYA HABARI VIKUU TULIVYONAVYO KWA SASA
Safi sana Tshisekedi, piga kabisa hao magaidi wa Kagame.Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC.
Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii.
Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda.
Brig Gen Sultan Emmanuel Makenga. Ni mtutsi mzaliwa na DRC Jimbo la Kivu ya Kusini. Mji mdogo wa Minembwe.
Makenga ndiye punda wa M23 na CND enzi za Gen Kunda. Punda kwa maana ndiye aliyefanya kazi ngumu zote za uundaji wa CND baadae M23.
Ijapokua ni Mtutsi, Makenga hakupendwa na Kagame. Mtu pekee alikuwa akimpenda Makenga jikoni Rwanda ni Gen James Kabarebe. Na sababu ikiwa Makenga alikuwa msaada mkubwa kwa Kabarebe alipokuwa akiongoza ile Operation Kitona wakati wa vita ya pili Kongo.
Hili ni anguko kubwa sana kwani kwenye makamanda wa M23 ni Makenga ndiye alikuwa na ujuzi mkubwa wa kutumia topography ya Kivu kumanuva vita.
Labda nidokeze 2012 walipokosana Makenga na Bosco Ntaganda ilimchukua siku mbili tu kumuweka kati bw Ntaganda na Ntaganda akakimbilia ubalozi wa US huko Kigali
View attachment 2288284View attachment 2288285