Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Wana jamvi Dr. Bana kasema ni sahii kufukuzwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Ameyasema hayo leo katika kipindi cha barugumu channel 10 kua ni sahihi kwa kufukuzwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwakua ametenda kosa la kiuongozi kwakua yupo chini ya mamlaka ya rais
sasa kama ni mumini wa serikali moja kwa nn aseme hii rasimu ya ccm ni bora?
Huyu bwana BANA sijui katoka wapi hapa TZ anatumia nafasi yake kutuchanganya,majuzi tu amehojiwa akaisifu sana katiba pendekezwa ya ccm......uwa huyu bwana anakwenda na upepo!anatafuta cheo huko ccm.Dr.Bana yuko live Channel 10 muda huu na katika mazungumzo yake na mtangazaji, anasema yeye ni muumini wa serikali moja na kwamba haamini mfumo uliopo wa serikali mbili utamaliza kero za muungano.
Msikilize live sasa hivi kupitia Channel hiyo
Wana jamvi ameyasema hayo leo katika kipndi cha barugumu chanel kua ni sahihi kwakufukuzwa mwanasheria mkuu wa zanzibar kwakua ametenda kosa la kiuongozi kwakuayupo chini ya mamlaka ya rais