Wametoa crop inaonesha Nyerere anaongelea mabadiliko lakini tofauti akina Lowassa wanarubuni wananchi kwa kutokuongelea Mzee alikusudia nini, Nyerere anasema mabadiliko ya mtu anayeichukia rushwa na hata tukimtazama tuseme kweli huyu anatufaa ..sasa angalia kinachosemwa na Lowassa huku akiongea nusu sentensi badala ya kuimalizia sentensi ya Nyerere, na hii kwa watanzania wazembe inatosha kuwalaghai kwasababu wengi si wafatiliaji na si wadadisi wa vitu na mambo yanayowahusu hata wao wenyewe ..wamekalia ushabiki kana kwamba ni mpira Wa yanga na simba
Tumekaa miaka zaidi ya 50 na hizo porojo unazoleta,hatutaki tena maendeleo,tunachotaka ni kuiondoa ccm basiii...! Hii haijalishi km mgombea wetu ni mzuri au la,tunapiga kura za hasira mkuu. Makomeo atapata kura chini ya elf 8 kwa nchi nzima....!Wametoa crop inaonesha Nyerere anaongelea mabadiliko lakini tofauti akina Lowassa wanarubuni wananchi kwa kutokuongelea Mzee alikusudia nini, Nyerere anasema mabadiliko ya mtu anayeichukia rushwa na hata tukimtazama tuseme kweli huyu anatufaa ..sasa angalia kinachosemwa na Lowassa huku akiongea nusu sentensi badala ya kuimalizia sentensi ya Nyerere, na hii kwa watanzania wazembe inatosha kuwalaghai kwasababu wengi si wafatiliaji na si wadadisi wa vitu na mambo yanayowahusu hata wao wenyewe ..wamekalia ushabiki kana kwamba ni mpira Wa yanga na simba
We vipi ..kwa hiyo unafikiri wananchi wanaishi kwa kuraririshwa?....sie tunataka mabadiliko tunayotaka sisi kwa tafsiri yetu na sio unayodeduce wewe kutoka kwa Nyerere......Mabadiliko yanayotakiwa ni kuitoa CCM na its corrupt system....hizo tafsiri zenu nyingine ni za kwenu hizo endeleeni nazo tu hamna anayewakataza!Wametoa crop inaonesha Nyerere anaongelea mabadiliko lakini tofauti akina Lowassa wanarubuni wananchi kwa kutokuongelea Mzee alikusudia nini, Nyerere anasema mabadiliko ya mtu anayeichukia rushwa na hata tukimtazama tuseme kweli huyu anatufaa ..sasa angalia kinachosemwa na Lowassa huku akiongea nusu sentensi badala ya kuimalizia sentensi ya Nyerere, na hii kwa watanzania wazembe inatosha kuwalaghai kwasababu wengi si wafatiliaji na si wadadisi wa vitu na mambo yanayowahusu hata wao wenyewe ..wamekalia ushabiki kana kwamba ni mpira Wa yanga na simba
wote wananena vzuri sana utaifa uko mbele skujua kua nape nae anajua kuongea vema yale maneno anayatoaga wap