kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Katika dunia hii, tenda wema nenda zako. Ipo siku utaaga dunia na kwahio usiumize wabadamu wenzako.
Banda alikua dictator hatari sana. Kila mmoja aliempinga aliuawa au kunyongwa. Leo kawakuta wanamsubiri.
Ongoza nchi sio kwa ubabe, bali kwa hekima na busara. Wababe wote waneishia pabaya. Akina Gadaffie, Kwame, Sadam, Hitler, na wengine wengi.
Unapokua chama tawala, heshi watu na wapiga kura.
Mfano, mwaka 2015, aliopo aliashinda kwa kura 8 na ushehe milioni na Alie fwatia, 6na ushehe milioni, ulio shinda, usijigambe sana. Watu milioni sita, walikua hawakutaki.
Nchi hii ina watu takribani 51 milioni. Jiulize mbona karibia wananchi 35milioni hawakunichagua? Basi niwaheahimu na kuwatendea mema ili nipate wanachama wapya.
Sio kwaubabe, bali matendo yako kama chama tawala, yatawavutia au kusitowavutia wananchi wengine. Kwahio, suruhu sio kukataza mikutano ya siasi bari kuruhusu na kustawisha demokrasia nchini mwetu.
Watanzania, tusiruhusu mbwewe na ushabiki, tukabadilisha katiba kwaajiri ya mtu moja leo, na kesho tukapata mwingine tukahangaika naye. Kila kiongozi miaka mitano au kumi inatosho.
Mwai Kibaki kafanya mengi miaka kumi, kuliko aliyofanya Moi miaka 24. Tuamke!