Msikilizeni huyu mzee anavyopotosha wajukuu zake.
haah haah thread of the day.eti anadanganya kudai uwajibikaji si jambo linalokuja mara moja.tuna miaka 50 na CCM?!Msikilizeni huyu mzee anavyopotosha wajukuu zake.
Wamuulize km Magufuli hakupima ktk tatu bora upande wa upinzani na ktk ccm ktk tafiti za REDET ..Anasema kuhusu ubora wa uchaguzi wa CCM na Km magufuli atashoot leo.
Msikilizeni huyu mzee anavyopotosha wajukuu zake.
Inahitaji kujitoa ufahahamu kiasi ili uende sawa baadhi vituo vya hbr nchini.
Kwa mtu makini kbs hawezi kufatilia jambo lolote kupitia kituo cha hao jamaa.
Kumejaa watangazaji mambulula na bendela fata upepo kuanzia redio mpk tv.
Watawapata haohao waendesha bodaboda na makondacta!!!