Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,528
Huyu msomi hajitambui huyu. Mimi simkubali yuko Bias sana huyu. Mimi natambua kuwa kila mtu ana msimamo wake, lakini kwenye ushauri na weledi wa kitaalamu hautaki msimamo binafsi bali uhalisia unaotokana na utaalamu katika eneo ulilobobea. Labda Phd yake amebobea kwenye CCM.Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Njaa inamsumbua. Hawazi kuisema vibaya CCM ni opportunistic. Anategea kama Magufuri atakuwa Rais, basi akiomba kuongezewa muda wa kuendelea kufanya kazi UDSM atapata. Anaogopa likichompata Baregu???/au Mwalimu Lwaitama????? kukataliwa kuendela kufundisha. Ni mpuuzi, ndio maana hizi tafiti zao just shit them!Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Kwani kosa lake liko wapi kwani kusema ukweli ni kosa?Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Mtalamu wa siasa anayechukia mafisadi kama Lowasa.hivi Dr Bana ndo naniii? mie ata simfahamu
Tatizo lenu nyie watu kila mtu anayekosoa hao viongozi wa ukawa basi lazima awe kada wa CCM, sasa kuna shida gani anaposema CCM wameunda timu bomba? Mpaka "wasomi" wengine kusema kaishia darasa la 3... maana inaonyesha mna elimu sana nyie. Mbowe kishawapofusha kwa mikumbo yenu kesho tu akisema hata mnywe sumu mtakunywa. Kama alivyowasafishia lowassa na kuwaambia wao wamepewa maelezo ya kutosha, nyie mmepewa? Ila nimegundua pia kwamba humu JF kila mmoja anajua zaidi haswa kwa matusi na kejeli ndo mnatoa majibu. Naona ndio wasomi nyie. Mnataka kujiona ni wafundishaji tu hamtaki kujifunza. Haya siku njema nawatakieni.
kiukweli timu ile sio Bana tu kila mtu kaikubali...wao hawana muda na mijini wamesema watajikita vijini walioko wapiga kura wao watiifu.
Kuna watu nchi hii hawana kabisa mishipa ya aibu.Ni jana tu Dr huyu alionekana kuwa mwenyekiti mwenza wa asasi za kiraia zitakazofanya shughuli ya uangalizi uchaguzi mkuu,leo ananukuliwa na magazeti akisifia timu ya kampeni ya CCM.Iko wapi credibility ya huyu mtu.Mtafiti na mchambuzi fake kama huyu mwenye mahaba na CCM unategemea ataandika ripoti huru kuhusu uchaguzi?
Mwalimu wa Shule ya msingi akitokea huko uhayani.Ana msimamo na mpiga brush wa viatu vya Prof.Mukandala kwa ulimi.hivi Dr Bana ndo naniii? mie ata simfahamu
mbona unalalamika tangu mwazo hadi mwisho Wa thread usipanic relax bana Ndio maisha ya Africa hayo hutaki hama au ujinyonge