Dr. Bana: CCM Iheshimu Mfumo wa Vyama Vingi

Dr. Bana: CCM Iheshimu Mfumo wa Vyama Vingi

Dr Bana na Humphrey Polepole ni baba mmoja na mama mmoja na ni mikada ya CCM. Kama Bana ni msomi akumbuke alioyasema kuhusu mkwamo wa kisiasa wa Zanzibar ikiwa kweli anaamini kuwa "CCM lazima kikubali utamaduni na kanuni za kukubali mfumo wa vingi vya siasa"

Ni unafiki wa kisomi.
Huwezi jua maana shetani nae akizeka huwa malaika
 
Huyu jamaa alisoma na kupata Phd kweli? I doubt....awamu ya nne alikuwa ni supporter mzuri sana wa CCM
 
Chama kilishaishiwa pumzi kinategemea zaidi nguvu ya polisi kudhibiti wapinzani,tatizo jingine polisi wetu nao wamekosa weledi katika kutekeleza majukumu yao.
 
Ukawa wakubali Umeya Uende CCM yaishe... Mtaumia nyie ooh... Madaraka si Mchezo wa Kuigiza...
 
Ukawa wakubali Umeya Uende CCM yaishe... Mtaumia nyie ooh... Madaraka si Mchezo wa Kuigiza...
WENYE MICHEZO YAKUIGIZA NA MAZINGAOMBWE NI UKAWA AU CCM SHIRIKISHA UBONGO KUFIKIRI SIYO MAKALIO KUFIKIRIA
 
Bana huyu huyu ndio amesema haya? Tusubiri kesho sio ajabu kutangaza press Ime misquote na statement inahusu UKAWA!
 
TANGU LINI CCM WALIHESHIMU MFUMO WA VYAMA VINGI NA SASA NDO VYAMA VYA UPINZANI VISIPOKUWA MAKINI VITAPOTEA KWANI RAISI ALIYEPO SIZANI KAMA ANAPENDA KUKOSOLEWA NA UPINZANI.
ccm wote wamekariri Akili za nape na January Makamba hawana sauti juu ya hao chochote wanachoshauri wanafuata .
 
Back
Top Bottom