Dr Askofu Shoo kuwa mkuu wa KKKT Jumapili

Ngongo

Platinum Member
Sep 20, 2008
20,615
35,800
Heshima wanajamvi,

Jumapili ya tarehe 31/01/2016 Dr Askofu Fedrick Shoo anatarajiwa kuwekwa wakfu na kusimikwa Ukuu wa kanisa la KKKT Mjini Moshi.Dr Malasusa anayemaliza muda wake baada ya kuhudumu kwa kipindi kirefu anatarajiwa kumkabidhi kiti cha ukuu wa kanisa la KKKT katika sherehe inayotarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa nikiwemo mimi Ngongo.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom