Hayo umeyajulia wapi mkuu wakati ndo sasa kaingia kwenye siasa? navojua mimi alikuwa mhadhiri pale mzumbe ndo safari hii kaenda kugombea ubunge jimbo jipya na kuukwaa uwaziri moja kwa moja, so she is very new siasani, I stand to be corrected anyway!!
Ni mapema sana kuamini ulichoandika acha muda useme!!!! Lakini kama una interest Naye nenda kwake kampongeze!!Naibu waziri wa mipango, fedha na uchumi ni mchapa kazi, muadilifu, hana upendeleo na ni mtu makini sana ktk kazi zake. Nampongeza sana kwa huu uteuzi naamini watanzania tutafikia ukombozi wa kiuchumi kupitia uongozi wako na Dr. Maguful.
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui
wewe ni MUONGO, umesoma wapi naye masters? Leo nimefahamu JF kuna watu wanachafua wenzao bila hata kuwafahamu.Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui
Ila wakati anasoma na sisi masters alikuwa kwa kweli mamahuruma mzuri tu na alikuwa anakola vizuri sana hadi raha.kichwani yuko safi ila lugha ya kuinflunce utendaji ndo sijui