jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Dec 29, 2016 #41 Jics said: wahusika naomba mtoe hii post maana jamaa maisha yake yatakuwa hatarini kwa wafuasi wa mudd Click to expand... KIDEVU said: Sheria ya Makosa ya Mtandao inakuhusu kwa kuisambaza Click to expand... Mbona hiyo video imesambaa sana huko social networks zingine. Na inasemekana sio mara ya kwanza kumtukana mtume wap S.A.W. So haina haja ya kutolewa acha kumbukumbu iendelee kuwepo for future refenences
Jics said: wahusika naomba mtoe hii post maana jamaa maisha yake yatakuwa hatarini kwa wafuasi wa mudd Click to expand... KIDEVU said: Sheria ya Makosa ya Mtandao inakuhusu kwa kuisambaza Click to expand... Mbona hiyo video imesambaa sana huko social networks zingine. Na inasemekana sio mara ya kwanza kumtukana mtume wap S.A.W. So haina haja ya kutolewa acha kumbukumbu iendelee kuwepo for future refenences
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,941 Dec 29, 2016 #42 Japo Mimi si muislam,lakini hata asiyekuwa na dini asingeweza kuongea hovyo hivyo. Huyu mtu anatakiwa awe jela sasa hivi
Japo Mimi si muislam,lakini hata asiyekuwa na dini asingeweza kuongea hovyo hivyo. Huyu mtu anatakiwa awe jela sasa hivi
simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,764 Reaction score 9,680 Dec 29, 2016 #43 Daudi Mchambuzi said: MwanaCCM anaruhusiwa kumtukana na kumkashifu mtu yoyote tena atapongezwa. Click to expand... Dr alikosea kitu kimoja tu kumkashifu Mtume. Matusi angelekeza kwa Maalim tu bila shaka angekwaa cheo muda sio mrefu.
Daudi Mchambuzi said: MwanaCCM anaruhusiwa kumtukana na kumkashifu mtu yoyote tena atapongezwa. Click to expand... Dr alikosea kitu kimoja tu kumkashifu Mtume. Matusi angelekeza kwa Maalim tu bila shaka angekwaa cheo muda sio mrefu.
K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Dec 29, 2016 #44 Macos said: Lema alisema i have a dream.....lakini yupo jela bila dhamana. ..huyu abdala ni kada wa kijani...tuone itakuaje... Mpaka leo nchemba kimyaaa..... Click to expand... Hapa mkuu mbwa kala mbwa,hainaga kesi hii!Angekuwa ukawa rangi zote angeziona!
Macos said: Lema alisema i have a dream.....lakini yupo jela bila dhamana. ..huyu abdala ni kada wa kijani...tuone itakuaje... Mpaka leo nchemba kimyaaa..... Click to expand... Hapa mkuu mbwa kala mbwa,hainaga kesi hii!Angekuwa ukawa rangi zote angeziona!