DPW deal is not real

Uongo mwingine huu wa asubuhi mapema.


Mtaumia sana wapigaji.
 
Hakuna mkataba duniani usiweza kuwa challenge. Hakuna makubaliano duuniani yasiweza kuwa challenged. Ndiyo maana mikataba na makubaliano yote ya Kimataifa "Inter" ni Intenational inalinwa na umoja wa Mataifa. Hata anaesaini awe mjinga wa kutupwa, ndiyo kazi ya Umoja wa Mataifa kumlinda.


Hivi nyinyi mnajifanya mnajuwa saana kuliko viongozi wenye exposure kila namna ya uongozi?

Nyie kaeni sindano ziwaingie, wakati mnalalama huku, bandarini kazi zinatekelezwa.

Mnafahamu kuwa container za DPW zimeshaanza kuingia bandarini?
 
nakubaliana na wewe kabisa, hakuna issue hapa wajanja wachache wanataka biashara, ndio maana wamekuja na kituko
 
Ni kundi la wazanzibari wanataka kujimilikisha bandari.

Na wakifanikiwa hili influence yao itapenya kwenye kila nyanja maana mapesa watayokua wanavuna bandarini watayatumia kumnunua yeyote na kufanya chochote wakitakacho
Kwa niaba ya mleta mada mezani, napenda kukushukuru kwa marekebisho. Imekaa vizuri sana. Hawa wazanzibar warudi kwao wakauze Zanzibar yao. Hivi hawa jamaa wamehongwa nini mbona ving`ang`anizi sana kuliko luba?.
 
Mleta post ana kitu huyu asipuuzwe,,

Tumuunge mkono .
 
Hadi Waziri Mtanzania kasaini mkataba huo kwa Niaba ya Serikali ya Dubai. Yaani anaiwakilisha Serikali ya Dubai.
Hii haraka haraka imewafedhehesha sana
Hapa dawa ni kujiuzuru tu kupisha aibu inayokuja.
 
Nimecheka kwa nguvu, kwahiyo kwako mtu akiwa kiongozi ndio ana exposure? Ama hujui maana ya exposure? Hao viongozi wanaozungukwa na kundi la watu kwa jina la washauri ndio wana exposure? Ni hivi, haya yaliyosemwa na mleta post ndio ukweli wenyewe.

Na hata hayo macontainer ya DP world yakianza kuja sio kwa ridhaa ya watanzania, bali ni kwa maagizo ya viongozi wezi.
 
Huyu sio BOSS ninaemfahamu mimi humu siku zote!! Kama ndiye yeye ninayemfahamu basi kuna kitu kafanyiwa na kimembadilisha amekuwa hamnazo na sio mzalendo tena!
Hakika sio yeye. Nimeamin hakuna asiye na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…