#COVID19 Dozi ya nne ya COVID-19 yatajwa kuzuia Omicron

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Wizara ya Afya ya Israel imesema watu wa umri wa miaka 60 na kuendelea waliopata chanjo ya nne wameonesha kuwa na kinga kuliko waliopata chanjo tatu.

Watu waliopata chanjo tatu wameonekana kutokuwa na uwezo wa kupambana na #Omicron. Omicron imedhibitiwa nchini Israel baada ya nchi hiyo kuanza kutoa chanjo ya nne mwanzo wa mwezi.

Utafiti uliofanywa uliofanywa ulitumia watu 400,000 waliopata chanjo na watu 600,000 waliopata chanjo ya tatu zaidi ya miezi minne iliyopita.
====

A fourth dose of COVID-19 vaccine given to people over 60 in Israel made them three times more resistant to serious illness than thrice-vaccinated people in the same age group, Israel's Health Ministry said on Sunday.

The ministry also said the fourth dose, or second booster, made people over 60 twice as resistant to infection than those in the age group who received three shots of the vaccine.

A preliminary study published by Israel's Sheba medical centre last Monday found that the fourth shot increases antibodies to even higher levels than the third but "probably" not to the point that it could completely fend off the highly transmissible Omicron variant.

Israel began offering a fourth dose of the Pfizer/BioNtech vaccine to people over 60 earlier this month as Omicron swept the country.

The ministry said on Sunday the study it conducted with several major Israeli universities and the Sheba centre compared 400,000 people over 60 who received the second booster with 600,000 people in the age group who were given a third shot more than four months ago.

As elsewhere, Israel has seen COVID-19 cases spiral due to Omicron. But it has logged no deaths from the variant.

Reuters
 
Huu ugonjwa wa mchongo unaisumbua sana Dunia, wanatuvuruga tu
 
Sasa hizi tiba za kuchanjana zinakuza kama uganga wa kienyeji, kubahatisha bahatisha
 
Back
Top Bottom