Hatimaye Blacberry wameamua kuizindua application yao ya BBM ambayo sasa itakuwa ikipatikana kwenye Android na iPhone. Kwa sasa application hiyo haipatikani kirahisi kwenye store za Android na iPhone hivyo ili kudownload App hii tafadhali bofya HAPAau tembelea official blackberry website.