Download GTA San Andreas buure kabisa

Tzhacker 000

JF-Expert Member
Dec 11, 2017
658
686
Leo hii nmependa kushare nanyi game zuri lenye GRAPHICS KALI na challange nyingi za maisha GTA SAN ADREAS.



GTA SAN ANDREAS ni game ambalo limeandaliwa na kudesigniwa na ma director tofauti kutoka nchini marekani.

Hili game linahusu maisha ya kawaida hasa kwa gangstar American hivo linalenga maisha ya vijana katika ulimwengu huu wa teknolojia...
Mara nyingi tumelizoea kwenye kompyuta lakini leo nakupatia bure kabisa kwa simu yako ya Android.
Play store linauzwa hapa free

Tisichoshane kusoma pakua hapa
GTA San Andreas

MAHITAJI MUHIMU
MB zako
Simu yako
Nafanya ya kuhifadhi(storage) 4GB
Kazi kwako
 
Hilo game naelewa proses zote mkuu kwanza unachotakiwa kukifanya mpaka uweze kulicheza sio tu ukili download ndio ukifungua utalicheza la mpaka ufanye prosess mkuu ngoja nikae vizuri nikwambie
 
Back
Top Bottom