Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Mkuu@[B][URL="https://www.jamiiforums.com/members/young_master.html"]Young_Master[/URL] powa kwa sisi hatuna hiyo Adroid itabidi tuitafute . Nimesikia Adroid ni kibok ya mobile phone zote ni kweli lakini ?[/B]
kuna wa2 play store haifany kazi kwa simu zetu kama vp naomba mu upload apk file au naomba unitunie katika laurentninga@gmail.com natanguliza nashukrani
tatizo play store haifanyi kazi kwenye simu yangu. ina load but kudownload ndo shida
Thanks Young_Master,
We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app
Thank you moderators,mimi nimedownload jana hii application ya JF for android na inafanya kazi vyema kwenye simu yangu.,labda watu wengine waelewe tu kuwa android sio simu bali ni operating system inayotumika kwenye most of smart phones kwahiyo sio kila simu itaweza kuinstall hii application unless iwe na OS ya android
Mbarikiwe sanaThanks Young_Master,
We will release the iPad & iPhone apps next week. We're also planning to release the BlackBerry app next week. There are some minor fixes we will apply one these apps based on customer reviews over the Android app
Mbarikiwe sana
Ni kipi hapo ambacho kwa sasa huwezi kukifanya kwenye android phone bila ya hiyo app? Hahahahahahaaaa....Overview
With this JamiiForums app, you can access JamiiForums.com forums directly from your Android device.
- Send and receive PM's
- Access and post to the most recent discussions
- Read and post to JamiiForums
- View JamiiForums profiles
- Upload images, videos etc
- Customize your mobile account anywhere, anytime
Mkuu nilikua natafuta hii sana, kwa ajili ya tab. yangu kwani kwenye i phone ipo poa thanks mkuu, let me try!Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo https://play.google.com/store/apps/developer?id=Home+of+Great+Thinkers ili kuweza kudownload JF Android Application na kuinstall kwenye kifaa chako ambayo utaitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.