Gerald JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 290 Reaction score 52 Mar 27, 2011 #1 Naona kuanzia Loliondo, Uvvcm, Shigongo,Magufuli na Pinda imepoteza kabisa mstakabadhi mzima wa dowans au ndio movie zinachezwa hapa ili mwisho tusikie serikali na wanaharakati wameshindwa kesi jamanio anayejua kinachoendelea atujuze hapa JF
Naona kuanzia Loliondo, Uvvcm, Shigongo,Magufuli na Pinda imepoteza kabisa mstakabadhi mzima wa dowans au ndio movie zinachezwa hapa ili mwisho tusikie serikali na wanaharakati wameshindwa kesi jamanio anayejua kinachoendelea atujuze hapa JF
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Mar 27, 2011 #2 Hapana ni just a commercial break we will be back very soon!!