Dovutwa yupo Eatv

Huyo mzee hajielewi kabisa, aendelee kucheza bao tu, siasa wala haina mashiko nae hata kidogo.
 

Usitupeleke huo samahani Sana!! kumjadili HanaFahamu Dovutwa, mchumia tumbo; ni kulidhulumu taifa muda wa uzalishaji Mali na maendeleo, Ni ufisadi! Kuna mambo muhimu zaidi ya kitaifa ya kujadili kwa maslahi ya Watanganyika, sio huyo, samahani Sana.
 
chizi huyo usirudie tena kupoteza mda kumsikiliza chizi mwenye njaa kama mrema na cheyo.
 
Hata mie nimemshangaa jamaa. Huwezi kupoteza muda kumsikiliza Fahmi Dovutwa

Kweli mkuu, jamaa anaonyesha kabisa hajui anachokifanya.Kumsikiliza ni kupoteza bure "raslimalimuda...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…