Dougo, Tulia Kabla ya Kula

Kumbe hawa jamaa nao wanaweka akiba ya chakula??
 
Wanamtaka mama yake kwa hiyo huyo ndo chambo
 
We mtoto unaskia lakini, wapigie simu wazazi wako uwaambie umetekwa watume salio la JFpesa kwenye 09680452 na wakichelewa tutakumaliza sasa hivi
 
wanatimiliza kauli mbiu mtoto wa mwenzio ni mtoto wako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…