KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,455
- 5,459
Ole atapewa haki yake kama ambavyo wengine ambao bado wawajasweka lupango watakavyopata haki yao bila upendeleo. Vita subra.Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Kwema Wakuu!!

wataje, unategemea serikali ijue kila kitu, wataje engine.Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Naunga mkono hoja , isiwe kwa sabaya tu , wateule wengi wa jiwe walifanya madudu ya kutisha ,wale wote waliotumia magenge ya wahalifu na ujambazi sheria ichukue mkondo wake.
Yaani wewe hata kama angekua ole sende ama DA B ama yeyote ungesema haya hayaKwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Naunga mkono hoja.Kwema Wakuu!!

Nawasilisha.
Kina nani?Kwema Wakuu!!

P wataje hao wengine, highlights them.DC 20505Naunga mkono hoja.
P