90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 437
- 534
Yuko kazini huyo..hivyo sio vyombo vya nyumbani kwakeJana ulileta uzi wa kuuza Kabati,leo unauza sijui Double deka,
Mumeo mpaka arudi kwenye safari yake atakuta nyumba nyeupe na mke karudi kwao Ifakara,kaenda kufungua Pharmacy.
😀