Mzee Mkandara,
Akhsante, nimekubaliana na wewe.
Nyamgluu, Ndio maana nikasema "kuiba", haikuwa na direct definition ya neno kuiba.
Halafu mbona watu kitu kikiwa kimekaa vibaya wanasema kimekaa kushoto?, Mkandara yupo right.
Mengine yote tupo pamoja.
FD