shebination
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 392
- 719
,[emoji38][emoji38][emoji38]Twitter saivii ya kitoto sana.
Huyu jamaa kafany nini mbona sielewi?
Jamaa ana trend sana sana
Anatrend kwa ishu gani?Jamaa ana trend sana sana
Tigo majana wamempa simu ya smatfon Kama zawadiHuyu jamaa ni mjinga ka kina Dr shika,na kwa akili za wabongo wanamhusisha na kitengo maalumu yan usalama,inabidi tuombewe kwa kusapot na kuendekeza ujinga