bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,116
Anaandika Dotto Bulendu:
Kuna jambo serikali inatakiwa kulichunguza kwa umakini,huku nako kunahitaji kichunguzwa! Ziwa Victoria,linaunganisha mikoa ya Mwanza,Mara,Kagera,Ziwa hili linazalisha samaki na dagaa!.
Serikali ipige ambush na kujionea kinachoendelea
1.Samaki wanapotoka Ziwa Victoria na kwenda nje ya nchi,husafirishiwa kwenye uwanja gani wa ndege?Mwanza ama?kuna kitu hapa serikali ifanye itabaini jambo!.
2.Je Serikali inafahamu idadi kamili ya samaki wanaotoka Ziwa Victoria na kwenda nje ya nchi?
3.Samaki hawa wa Ziwa Victoria wanapotoka nje ya ukanda wa Afrika Mashariki huandikwa wametoka wapi?ifanye uchunguzi huko Ulaya,Asia na Amerika kama vifungashio vyenye samaki vimeandikwa kuwa hao wametoka Tanzania?
Huku napo kuna jambo huku!.
Sasa nenda viwanda vya samaki kwa wafanyakazi,napo kina jambo huko mwa wafanyakazi!.