Mtaka yote
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 136
- 103
HONGERA sana mwandishi wa habari Doto Bulendu kwa kutunikiwa tuzo ya mwandishi mahiri wa habari Tanzania kutoka MCT jana usiku
hakika huyu jamaa anajua na ni mfano kwa waandishi wa habari Tanzania
Naunga mkono hoja!. Hebu nisome hapa!.HONGERA sana mwandishi wa habari Doto Bulendu kwa kutunikiwa tuzo ya mwandishi mahiri wa habari Tanzania kutoka MCT jana usiku
hakika huyu jamaa anajua na ni mfano kwa waandishi wa habari Tanzania
Mbona unaandika kwa mashaka mashaka hivi?Kumbe Ndiyo Maana Hata Kipindi Leo Kilichelewa Kuanza Na Hata Kilipoanza Saa 2 Kamili Hakikuwa Na Mvuto Kama Akiwepo Mwenyewe Dotto Bulendu. Kuhusu Yeye Kupewa TUZO Hiyo Sina Mashaka Nayo Kwani Namfahamu Tokea Alipokuwa Amenitangulia Madarasa Mawili SAUT Kuwa Ni Mahiri Sana Na Mno Ktk Medani Ya Utangazaji Na Namwona Muda Si Mrefu Akielekea CNN au BBC au SKY News au DW au I24. Lakini Hata Hivyo HUWEZI KUSOMA CHUO KIKUU BORA KWA SASA NCHINI TANZANIA Cha SAUT Halafu Usiwe Competent. Hakuna Kama SAUT Nchini Tanzania Kwa Sasa Na Wewe Ambaye Hujapitia SAUT Hakika UMEKOSA Vingi Mno. I am Proud Of SAUT Na Nawapenda Sana Wahadhiri Wangu Wote Walionipika Na Wanaomalizia Kunipika Bongo Campus Na Nawaahidi Hata PhD Yangu Nitaifanyia Hapo Hapo SAUT Labda Nife Leo. Kaka Dotto Bulendu Hongera Sana Na Sisi Wana SAUT Wote Tumefurahi Na Tunakuombea Mafanikio Mengi Zaidi............. " We Build The City Of God ". Mtakaonuna PASUKENI!!!!!!!
Kumbe Ndiyo Maana Hata Kipindi Leo Kilichelewa Kuanza Na Hata Kilipoanza Saa 2 Kamili Hakikuwa Na Mvuto Kama Akiwepo Mwenyewe Dotto Bulendu. Kuhusu Yeye Kupewa TUZO Hiyo Sina Mashaka Nayo Kwani Namfahamu Tokea Alipokuwa Amenitangulia Madarasa Mawili SAUT Kuwa Ni Mahiri Sana Na Mno Ktk Medani Ya Utangazaji Na Namwona Muda Si Mrefu Akielekea CNN au BBC au SKY News au DW au I24. Lakini Hata Hivyo HUWEZI KUSOMA CHUO KIKUU BORA KWA SASA NCHINI TANZANIA Cha SAUT Halafu Usiwe Competent. Hakuna Kama SAUT Nchini Tanzania Kwa Sasa Na Wewe Ambaye Hujapitia SAUT Hakika UMEKOSA Vingi Mno. I am Proud Of SAUT Na Nawapenda Sana Wahadhiri Wangu Wote Walionipika Na Wanaomalizia Kunipika Bongo Campus Na Nawaahidi Hata PhD Yangu Nitaifanyia Hapo Hapo SAUT Labda Nife Leo. Kaka Dotto Bulendu Hongera Sana Na Sisi Wana SAUT Wote Tumefurahi Na Tunakuombea Mafanikio Mengi Zaidi............. " We Build The City Of God ". Mtakaonuna PASUKENI!!!!!!!
Mbona unaandika kwa mashaka mashaka hivi?
Kwa ngono hakina mpinzani hapa Tz, si unakumbuka kuna binti aliwahi kurekodi mkanda hapo chuoni na ukasambazwa kwenye mitandao?Eti SAUT inazidi vyuo vyote Tz!! AJABU LA 8 LA DUNIA HILI sasa!
Nsia swai alishuti muvi kali sana ya ngono hapo SAUT! Na bado muvi kibao na kali za ngono zinaendelea kuzalishwa hapo na nyota wenu wa kila aina!! dah kweli bonge la univasiti hilo
Nsia swai alishuti muvi kali sana ya ngono hapo SAUT! Na bado muvi kibao na kali za ngono zinaendelea kuzalishwa hapo na nyota wenu wa kila aina!! dah kweli bonge la univasiti hilo