GE2025 Dorcus Francis: Wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya “No Reform No Election

GE2025 Dorcus Francis: Wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya “No Reform No Election

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Dorcus Francis, amesema wananchi wengi wanataka uchaguzi kufanyika badala ya kauli ya “No Reform No Election.”

Akizungumza katika mahojiano na PM TV Tanzania, Dorcus alisema kuwa alipita kaya kwa kaya kuzungumza na wananchi kabla ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge, na wengi waliomueleza wanatamani kuona mabadiliko kupitia uchaguzi huru na wa haki.

 
Huyu ni kichaa kbs huyu hawa ndo wanawauza watanganyika kwa vipande vya fedha chadema ilifuga majangiri mengi sn kama hli.
 
Sasa kama Watanzania wengi walimwambia wanataka uchaguzi Huru na Haki, uchaguzi huu utakua Huru na Haki? Na nani alisema hataki uchaguzi Huru na Haki. No reforms No Election si ndo kudai uchaguzi Huru na Haki Og sasa
 
Back
Top Bottom