Hivi kina watu bado wanatumia IE tu?
IE ni browser ambayo ni inbuilt kenye windows OS, labda ili kuwa precise zaidi ungeuliza hivi, kuna watu bado wsnatumia Windows OS? Wengi wa watumaji wa wndows OS's ni novice na hivyo kufikiria ku-install an alterntive browser kwenye windows wakati anaona tayari ipo inakuwa ni kazi nyingine ya ziada.
Unaweza kutumia Windows na siku.ya kwanza tu baada ya unboxing uka install Chrome, Firefox, Opera etc.
U novice nategemea washindwe kuinstall packages za Ubuntu kwa command line za "sudo-apt-get" na "sudo-apt-install" lakini hizi app za ku download na ku click next, next,next u novice tunausingizia.
hivi kuna watu bado wanatumia IE?
Third world picha iko tofauti kabisa, hii kitu unayoongea hapa haiwezekani kwa uzoefu nilionao wa miaka kama 17 tangu nianze kuhangaika na matumizi ya PC's zenye windows OS's. Labda useme sasa hii iwe projection kwa kizazi hiki ambacho kiko chini ya smart-phone era. Otherwise kwa wengine huko nyuma haiwezekani!