Don't try this at home

Huyu kapigwa nusu kaputi akiamka hapo balaa lake halihesabiki
 


Home grown then wanakuwa introduced to the park kwasababu kuna park SA hawa jamaa wanakaribia kupotea kabisa.
 
Kuna vitu siwezi kajaribu, ntaishia kutizama. Ttu
 
Africa is a very harsh and hostile environment to live, for both animals & people. Hivyo inawafanya hata wanyama kuwa aggressive. Ila mnyama akipelekwa au kukulia uzunguni, aaah anakuwa mpoleee kwa kuwa mazingira ya kule ni rafiki sana, hakuna hata majangili wa kutaka ngozi yake au meno.

Tafuta movie inaitwa "animals are beatiful people." Wanyama nao wana dhamiri, hivyo wanaweza kuiga tabia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…