Pole sana, it happens to almost everyone.
Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu even better utakuja kushangaa huyu ulikua unampendea nini. Fanya mazoezi kua sexy. One thing proven again and again to heal a broken heart ni self improvement, hakuna better way kama kuhit gym
We ni ke au me?
Imeisha hiyoo
kama umetoka kwa bwana wa majeshi hutakua na tofauti na wale, ila kama ni BWANA/Bwana wa Majeshi basi utakua tofautiKwanini tusipromise wakati nanyi mnataka hivyo..?
Sometimes we promise lkn mnakuja kuharibu mambo nyie wenyewe!..
Halafu wanaume wote hatupo hivyo wengine tunatoka kwa bwana wa majeshi..
Hawez na Akiowa njoo kwangu nikuowe na wwUnataka kunambia hataolewa?
time will tell
Utakuwa umenielewa..kama umetoka kwa bwana wa majeshi hutakua na tofauti na wale, ila kama ni BWANA/Bwana wa Majeshi basi utakua tofauti
Nimekuelewa Hata Mleta Mada Kwa Huu Uzi Ataelewahukujua kwamba everything fade
hukujua pia people change
je vp kuhusu even the greatest fall and fail
pole sana mkuu ss wanaume huwa hatunuwii kamwe kutoka moyoni hvo viapo au ahadi
Nakazia👏👏Pole sana, it happens to almost everyone.
Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu even better utakuja kushangaa huyu ulikua unampendea nini. Fanya mazoezi kua sexy. One thing proven again and again to heal a broken heart ni self improvement, hakuna better way kama kuhit gym
Amekiri kuwa anampenda huyo aliezaa nae. Japo alinidanganya kuwa hana mawasiliano nae na hawez kumuoa. Bt mambo yaliyojiri mpk sielewi alikuwa na nia ganiPole kwa changamoto,We kama mwanamke ulikuwa unanafasi kubwa ya kumshawishi aishi na wewe kama ungeutumia vizuri uanamke wako. Pia maisha ya uhusiano ni vita,unawezakuwa kwenye uhusiano huku wengine wakipiga nyungu nje.
Huwezi kumbadilisha mtu unless aamue kubadilika mwenyewe na Ukijiforce sana anaweza kukuigizia kwa muda ila baada ya muda unawekwa kando. Haya maisha ni kuangalia tu mwenye unafuu maana ukamilifu haipoPole kwa changamoto,We kama mwanamke ulikuwa unanafasi kubwa ya kumshawishi aishi na wewe kama ungeutumia vizuri uanamke wako. Pia maisha ya uhusiano ni vita,unawezakuwa kwenye uhusiano huku wengine wakipiga nyungu nje.
Ulivyoona hivyo,pale mwanzoni ulitakiwa uarakishe ndoa;ila kwa sasa muache yeye aendelee na maisha yake huku na wewe ukitafuta wa kwako,na ukimpata usimcheleweshe.Amekiri kuwa anampenda huyo aliezaa nae. Japo alinidanganya kuwa hana mawasiliano nae na hawez kumuoa. Bt mambo yaliyojiri mpk sielewi alikuwa na nia gani
time will tell
Kweli mkuu,ila angeweza kuingia ndani mambo mengine yangejipanga tu;mbona wengine tumeoa lakini bado tunagonga za nje,huku ndoa zetu tukiziheshimu.Huwezi kumbadilisha mtu unless aamue kubadilika mwenyewe na Ukijiforce sana anaweza kukuigizia kwa muda ila baada ya muda unawekwa kando. Haya maisha ni kuangalia tu mwenye unafuu maana ukamilifu haipo