Yeeees mkuu afate huu ushauri atakuja kukushukuru badae hakuna kitu kinacho yeyusha stress kama kipiga zoezi nyieee hadi raha jaman....mtoa mada anza zoezi,ukoanza zoezi automatically mambo yatakaa mkao..[emoji123][emoji123][emoji123][emoji104][emoji104][emoji104]Pole sana, it happens to almost everyone.
Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu even better utakuja kushangaa huyu ulikua unampendea nini. Fanya mazoezi kua sexy. One thing proven again and again to heal a broken heart ni self improvement, hakuna better way kama kuhit gym
Unataka kunambia hataolewa?Sheria namba 1 ya katiba ya mabaharia ni "Singo maza haolewi"
Sent using Gun Trigger