lito jiniaz
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 205
- 77
bla shaka muwazma wa afya
ISOME HII KISHA UITAFAKARI
Mtu mmoja maarufu alisema"maisha yangu mazur yalkuwa juu ya mikono salama ya mwanamke,ambaye hakuwa mke wangu" watu wakashangaa na kubaki kimya....
Yule m2 akaongeza"huyu mwanamke alikuwa mamangu"...
Makofi na vicheko vya nguvu vikasikika...
Mwanaume mmoja akavutiwa na hayo maneno akaamua aende kujaribisha nyumban kwake...ucku baada ya msosi akasema kwa sauti ya nguvu kwa mkewe ambae alikuwa jikon "maisha yangu mazur yalkuwa juu ya mikono salama ya mwanamke,ambaye hakuwa mke wangu"
Akiwa amesimama kwa mda huku akifikiria kuusema ule mstar wa pili wa yule jamaa.....fahamu zilimrudia akiwa hospitalin akiuguza majeraha ya maji ya moto aliyomwagiwa na mkewe..
ONYO:ukisikia au kuona jambo,jaribu kumfiria kwanza yule unaetaka kumpelekea...
unapoishi na m2 hata km mnapendana sana jarib kufikiria kle cha kuongea au kumfanyia..wengne hasira zko machon,akikuangalia 2 ashakuadhib...
CHEZEAMAJI YA MOTO WEEEWE