Don't be a simp

Don't be a simp

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,130
Reaction score
33,511
Wiki hii yote nimesoma threads kadhaa za comrade Zemanda akiongoza movement ya kutokomeza ma-simp. Mimi kama askofu mkuu wa injili ya redpill hapa jf nitakua sijatenda haki nisipoandika chochote kuhusu hii movement.

Vijana acheni kutukuza na kuingia gharama kwa ajiri ya wanawake ambao hawaongezi thamani yoyote kwenye maisha yenu. Wewe sio baba ake. Kama hakutii, hakupi amani, haongezi thamani yoyote kwako, kwanini unapoteza muda na hela yako kwake?

Stay on code. No more simping, no more chasing validation, no more spending on liabilities. Ku-simp ni kudhalilisha marafiki zako, baba ako, ancestors wako na Mung wako.

Kama anataka kukutumia kupata validation na attention yako ili kuboost ego achana nae. Kama anakupenda, nawe mpende. Kama anakusupport na wewe msupport. Lakini kama anataka kukubesha wajibu wa kujihudumia mahitaji yake yeye mwenyewe kama mtu mzima, achana nae. Dunia haina huruma kwa mwanaume asiye kuwa na hela. Jipe kipaumbele wewe mwenyewe, kaa mbali na wanawake masikini.

Huyo binti ana miguu na mikono miwili kama wewe. Ana masaa 24 ya siku kama weee. Ana nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi. Ana baba, mama, kaka, dada, sasa nini kinakufanya ufikiri ni wajibu wako kumuhudumia mahitaji yake.

Masimp wote sasa ni wakati wa kuamka na kujua kwamba nyie ndio sababu ya kila kitu kuvulugika kwenye dating pool na jamii kwa ujumla. Mwanaume asiye kuwa na hela anaonekana useless kwenye macho ya mwanamke wa kisasa lakini mwanaume huyo huyo akipata hela mwanamke anajisogeza na kuona nihaki yake kupata gawio . Kwanini? Kwa sababu wanaume dhaifu na masimp ndio mmewapa hiyo ilusion wanawake wa kisasa kiasi cha wao kufikiria ni kawaida

Simps wake up. Learning that your money is your weapon, power, peace and legacy. And if you hand it free don't cry when you are used, drained and dumped. You don't owe any woman a lifestyle she didn't help you build or her father failed to give her. You don't need to prove your manhood by sponsoring her laziness. The real enemy is not entitled woman, it's you simps and weak men who funds her nonsense

Na katika movement hii lazima mjue tutapata upinzani mkali kutoka kwa wanawake.

The foundation message is simple.
- men, focus on developing yourself and use your money wisely instead of wasting it on parasitic relationship
- Don't assume fatherly role while still at your building and dating stage, it's not your responsibility
-Before invest a single shilling in her, vet her harshly and ruthless based on her past

Is this so hard to understand and leading to all these blind twists from women? Is their life or source of income at stake?

Kwanini wanawake wanapinga redpill movement na wanawalinda sana masimp? Kwa sababu wanawake hawapendi kuwajibika. Wanawake ni watiifu pale kwenye masilahi yao tu. Hawataki masimp waamke kwa sababu hao ndio wanafadhili maisha yao kwa 95%. Wanapaniki sio kwa sababu hatupo sahihi, ila ni kwa sababu wanajua tume-unlock mchezo wao. Kwenye hii movement mwanaume ukiona misimamo yako inaungwa mkono na wanawake basi jitathmini. Somewhere somehow utakua umeyumba kimaamuzi kama mwanaume

Men, stop simping , guard your resources, vet her value before you invest a single shilling.

  • Make money,
  • Take care of yourself
  • Put yourself first
  • Put yourself first before your wife.
  • Put yourself first before your girlfriend.
  • Put yourself first before any other person.
  • Spend your money on you.
  • Enjoy your money, and

Don't be a simp.
 
Gedore_No._7_combination_wrenches_6–19_mm.jpg
 
Men, stop simping , guard your resources, vet her value before you invest a single shilling.
  • Make money,
  • Take care of yourself
  • Put yourself first
  • Put yourself first before your wife.
  • Put yourself first before your girlfriend.
  • Put yourself first before any other person.
  • Spend your money on you.
  • Enjoy your money, and
Don't be a simp.
Summary.
 
Watakuja hapa wakisema 👉KAMA UTAJITOMBA SAWA BABA USITOE🙃.

Tulia bdo hawajatulia ila washatok church.
Kama anajiuza aweke wazi wakubaliane bei na mteja. Lakini kama ni mahusiano basi lazima iwe reciprocal yaani kila mmoja atoe kile kile ambacho anafikiri anastahili kupewa. Hata kama sio kea kiasi kile kile angalao ajitahidi mpaka uwezo wake unapofikia
 
Back
Top Bottom